Ni zamu ya Shetta sasa hivi, na hii ndio video yake mpya kamshirikisha Mnigeria.
Ni zamu ya Shetta ambae ni mkali wa bongofleva aliekaa kimya bila kutoa chochote kipya kwa zaidi ya miezi 7 na sasa amerudi kwenye headlines na hii kolabo kampa shavu Kcee wa Nigeria.
No comments:
Post a Comment