Share
Kama unayo pesa, unaambiwa hizi ni sehemu 10 za kutembelea duniani kabla hazijabadilika.
Saint Vincent and the Grenadines, ni nchi ambayo ni kisiwa karibu na Barbados kwa kina Rihanna, kwa sasa kipo pia kwenye muungano wa mataifa ya mashariki mwa Caribbean.
Hii ni kwa mujibu wa CNN ambao wamefanya collection ya sehemu hizi zenye mvuto na historia ya kipekee kwenye dunia tuliyomo lakini utajiuliza pia sehemu kama Zanzibar ambayo tunaamini ni kituo kingine kikubwa cha utalii kilichojaa kumbukumbu za kutosha, hakipo kwenye hii list.
Island in Saint Helena, Ascension and Tristan da Cunha
Kisiwa cha Crete kipo Ugiriki ambacho ni namba 5 katika list ya visiwa vikubwa vya bahari ya Mediterranean.
Managua, Nicaragua
Reyðarfjörður ni mji ambao upo kwenye kisiwa ambako ni ndani ya nchi ya Iceland.
Victoria Falls Zimbabwe/Zambia, wanasema September 2015 kuna uwanja wa ndege wa kimataifa utafunguliwa kwenye mpaka wa Zambia na Zimbabwe ili hii sehemu iwe rahisi kufika.
Hapa ni Antarctica
Sehemu nyingine kwenye hii list ni Cuba
Gozo (Malta) ipo kwenye list na unaambiwa sehemu hii inatarajia ugeni mkubwa wa Watalii baada ya movie mpya ya Angelina Jolie ‘By the sea’ kutoka baadae mwaka huu, ni kisiwa kipo bahari ya Mediterranean kwenye nchi ya Malta ndani ya kusini mwa bara la Ulaya.
Solden Austria.
Baada ya kuiona hii list, unahisi ni sehemu gani ilibidi ziwepo kwenye hii list au kuongezwa?
http://monewstz.blogspot.com
No comments:
Post a Comment