Recent Post

Tuesday, March 31, 2015

Japo Man United haiko kwenye hali nzuri, Kocha wao Van Gaal Apewa tuzo



Japo Man United haiko kwenye hali nzuri, Kocha wao Van Gaal yuko kwenye Headlines ya Tuzo..

vanManchester United ni kama haina bahati msimu huu, mpaka sasa bado haipo katika kiwango kizuri cha uchezaji na inakamata nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu ya England.
Pamoja na kutokuwa na kiwango kizuri lakini bosi wa klabu hiyo Louis Van Gaal ameweza kuibuka mshindi katika tuzo maarufu ya Anton Geesink ambayo hutolewa nchini Uholanzi.
Tuzo hiyo maalum hutolewa kwa mtu, mji au kundi la watu lililofanya vema katika michezo mbalimbali.
Van Gaal ambaye kikosi chake cha Man United hakiko katika kiwango kizuri msimu huu amepewa tuzo hiyo baada ya Uholanzi kuonyesha kiwango bora na kushika nafasi ya tatu katika Kombe la Dunia nchini Brazil, mwaka jana.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *