video mpya ya Vanessa Mdee ft. K.O wa South Africa? ninayo hapa..
 Sifa nyiiiingi zipo pia kwa V Money a.k.a Vanessa Mdee ambae ni mkali wa bongofleva kwenye hits kama ‘come over’ ‘closer’ ‘safari’ na nyingine ambazo zimemfanya awepo bongoflevani na sasa katuletea hii mpya kafanya na rapper K.O wa South Africa.

https://youtu.be/lQVIV8WJQxs  hii ndio link ya video hiyo

No comments:
Post a Comment