Recent Post

Tuesday, March 31, 2015

WAAFRIKA WANAOISUMBUA LONDON KWA SASA NI HAWA HAPA



Picha nyingine kutoka London!! show ya mastaa kutoka Nigeria, Congo na Ghana…(Pichaz)

LONDON4Mastaa mbalimbali wa Nigeria walikutana kwenye jukwaa moja katika tamasha la Dance Afrique London 2015 lililofanyika mwishoni mwa juma London.
Mbali na PSquare pamoja na Mr.Flavour ambao walioongoza burudani hiyo, ujauzito haukuwa kikwazo kwa Tiwa Savage ambaye alionekana kulimudu vyema jukwaa na kutoa burudani ya kuvutia kwa mashabiki wake.
Pia kulikuwa na wasanii wengine kutoka Ghana huku Awilo Longomba kutoka Congo naye alikuwa mmoja wa walioweza kutoa burudani baada ya kuimba nyimbo zake za zamani na mpya na kuongeza ladha ya burudani hiyo.
LONDON

LONDON10
LONDON4
LONDON5
LONDON6
LONDON8
LONDON9
longomba
ghana

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *