By:
Unknown
on 2:05 AM
Share
Beyonce na wenzake kwenye stage moja!! Safari hii ni burudani ya gospel… (Video)
Kundi la Destiny’s Child liliundwa na Beyonce Knowles, Kelly Rowland pamojaMichelle Williams na kuamua kusambaratika huku kila mmoja akijitegemea na kuendelea na kazi zake za muziki.
Mara ya mwisho kundi hili walishirikiana mwaka 2013 lakini unaambiwa mwishoni mwa wiki iliyopita waliungana tena katika tuzo za 30 za kila mwaka za muziki wa injili zaStellar zilizofanyika katika ukumbi wa Orleans Arena, Las Vegas.
Wadada wo walipanda jukwaani na kuimba pamoja wimbo wa “Say Yes” ambao ni waMichelle aliowashirikisha wenzake.
Wimbo huo ulishinda vipengele vitatu ikiwemo wimbo bora wa mwaka na video bora.
Video ya nyimbo hiyo inatarajia kutoka rasmi April 5 siku ya pasaka.

No comments:
Post a Comment