Recent Post

Tuesday, March 31, 2015

Ishu ya Wanyama kupelekwa mjini na kuachwa makusudi kama Mabango HAPA KWETU TZ BADO IL NI IDEA NZRI



Ishu ya Wanyama kupelekwa mjini na kuachwa makusudi kama Mabango inazidi kukua

Punda NairobiImekua ikitokea Uganda hasa Kampala ambapo Wanaharakati wamekua wakiwatumia Nguruwe kwa kuwaandikia maandishi kama hivi lakini hii ya March 30 2015 imeripotiwa na ripota wangu Julius Kepkoich kutoka kwenye barabara ya Kenyatta Avenue Nairobi Kenya.
Unaambiwa Wafanyakazi wa baraza la Kaunti ya Nairobi waliwaondoa Punda hao watano waliokua wameachwa kwenye eneo hilo na Wanaharakati kutoka mashirika ya kijamii,  walikua wamepakwa rangi wakiwa na maandishi mbalimbali yakiwemo yanayoshutumu ufisadi.
Punda 2

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *