Recent Post

Tuesday, March 31, 2015

OBAMA NDANI YA NAIROBI KENYA



Obama kaamua kutimiza ahadi ya kutembelea kwao KENYA?

Barack Obama
Kila mtu anafahamu kwamba marehemu baba mzazi wa Rais wa Marekani Barrack Obama ana asili ya Kenya, lakini mara nyingi amekuwa akiulizwa kwamba kwa nini tangu amekuwa Rais wa Marekani hajawahi kutembelea kwenye nchi hiyo.
Hilo swali kawahi kuulizwa zaidi ya mara mbili, lakini alipokuwa South Africa mwaka 2013 alijibu kwamba kwa sababu hajamaliza uongozi wake, basi tusubiri hiyo safari ya kutembelea Kenya huenda ikawepo wakati wowote.
Taarifa kutoka Ikulu ya Marekani leo imetangaza kuwa Rais Obama atarajiwa kwenda Kenya mwezi July 2015 ambapo atakuwa akihudhuria Mkutano mkubwa wa kibiashara na ujasiriamali utakaofanyika Nairobi.
Labda kitu ambacho Wakenya wengi hawakukipenda ni ishu ya Rais huyo kutembelea nchi nyingine kama Tanzania, Senegal na Afrika Kusini lakini hakufika nyumbani kwao.
Hii ilikuwa Obama alipotembelea Dakar, Senegal 2013.
Hii ilikuwa Obama alipotembelea Dakar, Senegal 2013.
Mara ya mwisho Obama kufika Kenya ilikuwa mwaka 2006 ambapo wakati huo alikuwa bado Seneta wa Illinois, Marekani.
Ikulu ya Marekani wamesema wataendelea kutoa taarifa zaidi kuhusu safari hiyo.
Obama II
Ijulikane kuwa Obama hakuwa na furaha sana sio kwa kua baba anaasili ya Africa ila ni kwasababu baba alitengana na mama yake na kusababisha kuishi maisha magumu ya kuhamahama pamoja na kulelewa na bibi wa upande wa mama zaidi, ni kweli kwamba hakupenda yeye kukua bila kuwa karibu na baba yake,

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *