Recent Post

Sunday, March 29, 2015

JE UNAJUA KAMA PANYA NI CHAKULA KIZURI TUU? CHEKI HAPA



Mama huyu aliona breakfast iwe panya kwa mtoto wake…

IndiaKuna tamaduni nyingine hutumia nyama ya mbwa kama kitoweo na wakati mwingine huamini ina faida kubwa mwilini tofauti na nyama ambazo zimezoeleka kuliwa na binadamu.
Hii imetokea huko India baada ya mwanamke mmoja kumalazimisha mtoto wake kula nyama ya panya kama kitoweo cha asubuhi kwa madai watamsaidia kumpatia nguvu.
ratsMtoto huyo aitwaye Chen alizua majibizano kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka picha ya panya hao ambao alitengewa na mama yake huku mama huyo akumuhimiza kuhakikisha anamaliza kabla ya yeye kuondoka kwenda kazini.
Awali mtoto huyo alidhani hawakuwa panya bali sungura lakini alipokuja kuujua ukweli alikataa kula lakini mama yake aliendelea kumlazimisha.
Alimsisitiza kuwa panya mmoja ana uwezo wa kumpatia  vitamini mwilini sawa na kula kuku watatu.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *