HAYA NDIO BAADHI YA MADUDU WANAYOFANYAGA WANA VYUO HAPA NCHINI!!

  Suala la Kupata elimu limekuwa ni moja ya kipaumbele katika serikali ya  jamhuri ya muungano wa tanzania na imejitahidi kufanikisha hilo katika  kila pande za nchi walau kuweka elimu ya chuo kama sio cha ufundi basi  ni kikuu kabisa na tena hata kama hakipo mkoani basi kitakuwa kwenye  kanda husika aidha ya kati, pwani , kusini n.k
  Idadi ya wasomi imeongezeka na wahitimu wanao lia ajira kila kukicha  nayo ikikua na kuleta adha kubwa kwa watunga sera za nchi kufikiri namna ya kulitatua tatizo hilo. Katika pepesa pepesa za team maadili ya  michepuko ndipo ikafanya tafiti kupima vilio vya wasomi hawa ambao kila  kukicha wana mahitaji muhimu kama fedha za kujikimu kwa vitendea kazi  kama vitabu, malazi, chakula na hata matibabu ndipo ikagundua lile suala la mgao wa fedha za kujikimu a.k.a BUMU halitoshi kulingana na  changamoto za maisha za vijana hawa hususani na kupanda  kwa gharama za  maisha kwa sasa.
 ALAHAULA KUMBE NDIO HAYA!!!
  katika kutimiza tafiti team michepuko haikuishia kuangalia matumizi mama tu yaani basic needs kwa kimombo bali ikagundua kinacholeta tabu kubwaa kwa wanazuoni wetu  hawa pia ni pamoja na burudani na mambo ya kileo ambayo vijana wa rika  hili la 20's huita BATA BATANI, duuuu aisee hilo bata huliwa wa kweli  kiasi kwamba hili hapa kwenye picha ni moja ya tukio lililofumaniwa  katika chuo kimoja katika viunga vya mwanza hapa kanda ya ziwa katika  chuo maarufu na kinachomilikiwa na shirika la dini duuuuh hatari  jioneee!!
















 

No comments:
Post a Comment