Recent Post

Monday, March 30, 2015

BAADHI YA YALIYOTOKEA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JANA



March 29 2015, siku ya pili msibani wa Abdul Bonge maskani Tip Top Connection.

29bngMarch 29 ni siku ya pili tangu Mkurugenzi na Mwanzilishi wa kundi la bongofleva Tip Top Connection Abdul Bonge afariki dunia, maskani Tip Top mastaa kadhaa wa Tanzania wamefika kwa ajili ya kutoa pole.
Ni pamoja na Diamond Platnumz, Nay wa Mitego, Pnc, Jb wa Bongo Movie, Khadija Kopa, Producer Master J, Lamar, Shetta, Chegge, Hakeem 5, Kitale, Shilole wengine.
Babu Tale ambaye ni mdogo wa Abdul Bonge amesema walikua wanasubiri taratibu za kiserekali kwa ajili ya uchunguzi wa mwili wa marehemu kisha wataenda kumzika kwao Morogoro.
98bng
94bng
76bng
64bng
47bng
Shetta na Chege
48bng
Mameneja Mkubwa Fella na Bab Tale
52bng
Khadija Kopa
54bng
Diamond na Nay wa Mitego
55bng
Kerry Swai na Mkubwa Fella
60bng
35bng
34bng
31bng
28bng
Lamar na Master J
25bng
23bng
Tale na Msami
20bng
16bng
9bng
Shilole
7bng


Nay wa Mitego na Z Anto.
 
 
 
 
 
 
 

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *