Recent Post

Tuesday, March 31, 2015

Alikiba ambusu Diva mdomoni ‘He is a good Kisser’ CHEKI PICHA



Alikiba ambusu Diva mdomoni ‘He is a good Kisser’

Diva na hitmaker wa Chekecha, Alikiba usiku wa jana waligusanisha lips zao kama sio kubadilisha mate kwenye busu la haja walilopeana.
KIba 2
Diva ameshare video ya tukio zima kwenye Instagram ambayo mwanzoni zinasikika sauti za mashabiki wakishangalia kwa kutaja jina lake kabla ya Alikiba kumsogelea na kumpiga busu.
KIba 1
Huenda mashabiki hao waliwashinikiza wawili hao wafanye hivyo. Hata hivyo Diva ameonesha kulipenda busu hilo na kumwelezea Kiba kama mtu anayebusu vyema.
“having Fun With @officialalikiba. Massive show… thank you guys for coming. kibah thanks for the kiss, sucha Good Kisser ‘ love you all. Thank yol for coming… but this kiss Baby is gon Kill Me lol #Jokking … but ey ‘ it was so much fun’ thank you Guys for coming … Happy People’ we killed it,” ameandika.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *