PAMOJA NA UMAARUFU BADO NI HADHI KUWA MAMA!!! TAZAMA WATU HAWA MAARUFU WAKIJIVUNIA KUUJAZA ULIMWENGU.
Siku ya leo kwenye peruzi na kudadisi inaonaneka kwa wasichana maarufu wengi hapa bongo wanahofia kuwa mama (kubeba mimba na kujifungua), labda kutoka na kuishi sana maisha ya kimaigizo kiasi wana ingia kwenye mahusiano na watu wakimaigizo igizo kiasi cha kuwatisha wenyewe kuwazalia watoto!! au ni kuhofia kupoteza mvuto katika tasnia hiyo anayofanyia kazi!!, Hii haipo hivyo katika nchi zilizoendelea tazama baadhi ya watu maarufu huko marekani waliokubali kubeba mimba na kujivunia hilo jambo mbele ya majarida makubwa kwa kuweka picha zao wakiwa watupu kabisa!!.
BEYONCE
Kourtney Kardashian
Kelly Rowland
Alicia Keys
Britney Spears
Christina Aguilera
Mariah Carey
MoNews
No comments:
Post a Comment