Recent Post

Tuesday, March 31, 2015

UKIONA MAHALI DR.SLAA ANAKWENDA UJUE PANAHABARI NZURI, UJUE PANA UTETEZI WA WATU WENGI TIME HII KAENDA KUMJULIA HALI NGWAJIMA



PAUL MAKONDA, DK SLAA WAMJULIA HALI ASKOFU GWAJIMA
    UKIONA MAHALI DR.SLAA ANAKWENDA UJUE PANAHABARI NZURI, UJUE PANA UTETEZI WA WATU WENGI TIME HII KAENDA KUMJULIA HALI NGWAJIMA 

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akimjulia hali Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima aliyelazwa Hospitali ya TMJ kwa ajili ya matibabu baada ya kupata mshituko katika mahojiano na polisi akituhumiwa kutoa lugha isiyofaa kwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilibroad Silaa (kushoto), akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda walipokutana Hospitali ya TMJ walipofika kumjulia hali Askofu

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *