Recent Post

Monday, March 30, 2015

KUTOKA CLOUDS FM HU NI UCHAMBUZI WA STORI ZA MAGAZEI CCM na Urais 2015.. Gwajima likata kutoroshwa? Askofu Pengo kasemaje?



CCM na Urais 2015.. Gwajima likata kutoroshwa? Askofu Pengo kasemaje? Sikiliza hapa

volume-button-19751-1680x1050
Jumatatu  ya March 30, tayari  Magazeti ya leo yapo mtaani, POWERBREAKFAST ya CLOUDS FM nayo imeshafanya uchambuzi wa stori zote, kama zilikupita sikiliza hapa…
Iko ishu ya Urais CCM kuwa na dalili za maamuzi magumu, Muswada wa Sheria ya makosa ya mtandao unaelekeza atakayesambaza picha cha ngono mtandaoni kufungwa miaka 7, Askofu Kardinali Pengo amesema amemsamehe Askofu Gwajima kwa kumkashifu, Jeshi la Polisi Dar linawashikilia watu 15 kwa tuhuma za kutaka kumtorosha Askofu Gwajima katika Hospitali ya TMJ, Askari Magereza afukuzwa kazi kwa kosa la kukutwa na fedha bandia, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesitisha kuanza kwa mradi mpya wa mji wa Kigamboni.
Zitto Kabwe kapewa masharti magumu na chama cha ACT, barabara ya msimbazi kufungwa ili kupisha ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi, Wizara ya Uchukuzi inatarajia kujenga reli mpya tatu ili kutoa huduma kwa nchi jirani na Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ametoa wito kwa vijana wa Afrika kupinga ukoloni mamboleo.
Katika uchambuzi huo kulikuwa na mazungumzo ya Askofu Kardinali Pengo ambae amesema amewasamehe wale wote walioeneza hivi karibuni maneno ya kashfa yasiyofaa dhidi yake.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *