JEMBEEEEE
![]() |
Ni muda wa kupiga picha na samaki. |
![]() |
"This is Jembe Club" says Peter Fabian. |
![]() |
Crew ya vijana wa mjini ikiongozwa na mkurugenzi wa Lakairo Investment Co.Ltd Danny Lameck (kulia) ishatia timu hapa. |
![]() |
G akipata bupepo..... |
![]() |
'Represent' |
![]() |
Bustanini....na kaunta yenye full service. |
![]() |
Kama una karanga njoo kuna jiwe la kale la kusagia. |
![]() |
You see? |
![]() |
Jembe ni Jembe. |
![]() |
On the top. |
![]() |
Vimiminwa vya kila aina. |
![]() |
Nyakati za usiku huu ndiyo muonekano. |
![]() |
Kama ni kuwochi football au matukio mbalimbali basi kaunta kuna bo-bo-booooonge la skrini!!!!! |
![]() |
Kwa mbaaali utaona...... |
![]() |
Engo nyingine adimu.... |
![]() |
Wenye boti zao kuna shortcut kutoka Malimbe Nyegezi hadi Mwanza town ni mwendo wa dakika 15 tu amini usiamini. |
![]() |
Kwa heriiiii.... |
![]() |
Waleeeeeeee!!!!! |
![]() |
Matukio mawili makubwa kufanyika:-
|
No comments:
Post a Comment