Recent Post

Friday, March 20, 2015

MSHAHARA MPYA WA THEO WALCOTT PALE ARSENAL



Hiki ndio kiwango kipya cha mshahara ambacho Theo Walcott anahitaji kulipwa na Arsenal

MoNewstz
Walcott2808a
Nilikusogezea story ya mastaa wa soka wanaolipwa fungu kubwa zaidi la pesa kwenye mshahara pamoja na kukusanya kipato kingine kwenye deal za biashara.. Theo Walcott sijui kashtuka kwamba kwenye TOP TEN hayupo?
Labda Theo Walcott anataka kufikia japo kiwango cha mshahara wa Mesut Ozil.. Theo ameitaka klabu yake ya Arsenal kumwongezea kiwango cha mshahara anachopokea kwa wiki.
Jamaa kwa sasa anapokea paundi 90,000 kwa wiki, ukiileta Bongo ni kama Mil. 240 hivi.. lakini anataka Arsenal wakubali kumuongezea kiwango hicho kabla hajasign mkataba mpya, atahitaji kwa sasa alipwe paundi 100,000.
Ozil analipwa pauni 140,000 na Klabu hiyo, Theo anahitaji kuongezwa labda akaribie kiwango cha mchezaji mwenzake.
0C3D9D7D00000514-3003294-image-m-20_1426806183746
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger.
Walcott alikuwa majeruhi kwa kipindi kirefu lakini baada ya kurudi uwanjani bado ameonesha kiwango kizuri.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *