Recent Post

Thursday, March 19, 2015

Mganga na viungo vya binadamu.. Dengue kurudi DAR?



Mganga na viungo vya binadamu.. Dengue kurudi DAR? Madereva walalamikia mizani.. #PB Clouds FM

Radio ShtKama ilivyo kawaida yangu kukuwekea sauti ya Magazeti yakisomwa hewani kwenye Redio, leo March 19 nimekusogezea hapa kilichosikika pia kwenye show ya Power Breakfast Clouds FM.
Madereva wamelalamikia kutokupewa elimu ya matumizi ya mizani cha Vigwaza, Mbunge Zitto Kabwe ashindwa kuwaaga Wabunge wenzake baada ya kuitwa na Spika wa Bunge Anne Makinda, TRL wamesema treni mpya itaanza kazi Aprili 01.
Dar watahadharishwa na ugonjwa wa dengue kutokana na mvua zinazotarajiwa kunyesha, mganga wa kienyeji Tabora atiwa mbaroni baada ya kukutwa na viungo vya binadamu pamoja na nyara za Serikali, Mbunge wa viti maalumu Al Alshaymaa ameapa kupambana kwa kuwatetea watu wenye ulemavu wa ngozi, Bunge Tz limesema hadi sasa halijapata muswada wa sheria ya Habari.
107.8 Clouds FM inasikika ukiwa Ngara.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *