Klabu Bingwa Ulaya kuna hii ya jana Man City VS Barcelona…

Dakika za mwisho Man City walipata penati lakini Sergio Aguero akashindwa kuwapatia Man City ushindi kwenye penati hiyo.
Kufuatia matokeo hayo Man City wanakuwa wameondolewa katika michuano hiyo kwa jumla ya mabao 3-1 ambapo katika mchezo wao wa kwanza Man City walifungwa goli 2-.
No comments:
Post a Comment