Monday, 16 March 2015
MCHUNGAJI ANASWA NA WANAWAKE WATATU GESTI WAKILA URODA TAPA UBUYU HAPA
OPARESHENI
 Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inaendelea! Wiki hii ilifanya 
kazi nyingine nzito, kumnasa Pastor John Paul Simon Rubanguka wa kanisa 
la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar ambaye alinaswa 
akichezewa utupu na wanawake watatu ambao ni kama waumini wake kwa 
sababu wote ni Wakristo.
Pasta
 John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance 
lililopo Masaki, Dar baada ya kunaswa na wanawake watatu wakimchezea 
utupu.
STORI NYINGINE YA PASTOR
Ilikuwa
 Jumanne ya Aprili Mosi, 2014, saa 4:14 asubuhi, chanzo cha habari 
kilipiga simu chumba cha habari cha Global na kuwataka makachero wa ***** 
ambapo alipounganishwa nao alisema:
“Jamani kama kweli hapo ni **** nina malalamiko. Mimi nimeshtukia mchezo 
mchafu unaotaka kufanywa na pastor (mchungaji) mmoja anaitwa Rubanguka.
“Huyu
 pastor amempa dili dada mmoja kumtafutia wasichana wazuri watatu na 
kuwapeleka kwenye nyumba moja hivi kisha wawe wanamchezea utupu wake 
huku wao wakiwa kama walivyozaliwa, ndiyo furaha yake ilipo. Wasichana 
wameshapatikana.”
MSHIKO WA NGUVU NA SAFARI JUU
Mtoa
 habari huyo aliendelea kudai kuwa, pastor huyo alisema wasichana 
watakaokuwa wakichezea utupu atawafanyia usaili wa kwenda kuwauza kwenye
 kasino moja iliyopo Uarabuni ambayo yeye ni wakala wa kuwapelekea 
malaya huko.
Chanzo hicho 
kiliendelea kudai kuwa, pastor huyo aliwaahidi wanawake hao kitita cha 
shilingi 300,000 kila mmoja kwa wale watakaofaulu kumchezea vizuri, 
sanjari na kuwakatia hati za kusafiria ‘passport’.
***YAWEKA MTEGO
Baada
 ya kupata ishu nzima, *** ilifanya ukachero na kugundua mahali ambapo 
tukio hilo lilipangwa kufanyika, ni kwenye danguro moja lililopo 
Kinondoni jijini Dar.
**** ilifika kwenye nyumba hiyo na kufanya ushushushu wake ambapo 
walifanikiwa kuweka mitambo yao sambamba na kulishirikisha jeshi la 
polisi kwa ajili ya kumnasa mtumishi huyo wa Mungu akifanya vitendo 
hivyo.
Saa 8:11 
mchana,**** wakiwa wamejibanza eneo hilo waliwashuhudia warembo watatu, 
weupe wakielekea kwenye nyumba ambayo mtoa habari wetu aliielekeza.
Kitambulisho cha Pasta.
PASTOR AWASILI KWA MBWEMBWE
Saa
 11:23 jioni, OFM wakiwa hawajaanza hata kujisikia kuchoka, walimwona 
pastor huyo akiwasili kwa mbwembwe akiwa ndani ya gari dogo na kugeuza 
kwa staili ya kupiga ‘norinda’ kisha akashuka. Mkononi alishika maji 
makubwa. Alipokelewa na mmoja wa wanawake hao.
Bango lililopo Kinondoni Mkwajuni, Dar likieleza lilipo kanisa la Pasta huyo.
MCHEZO WAANZA
Saa
 11:40 jioni, makachero wa **** walifanya uchunguzi wa kina na kubaini 
kuwa, tayari mchezo ulishaanza ambapo waliwataarifu polisi na kuungana 
nao kwenda kuvamia nyumba hiyo.
Msafara
 wa **** na polisi hao ulifika nje ya chumba kilichokuwa kikidaiwa 
kufanyika uchafu huo. Sauti ya muziki na wanawake waliokuwa kama wapo 
kwenye darasa la siri zilisikika.
Polisi waligonga mlango na kujitambulisha kisha wakaomba wafunguliwe mlango haraka ndani ya sekunde chache.
PASTOR APATA MCHECHETO
Pasta
 John na wanawake hao walitii amri kwa kufungua mlango ambapo mchungaji 
huyo alikumbwa na mchecheto na kutaka kurukia juu ya dari lakini polisi 
walimtafadhalisha kutulia pamoja na wanawake hao kama walivyo.
**** ikiwa chumbani humo iliwashuhudia wanawake hao wakiwa watupu mbele ya pastor huyo ambapo walikuwa wakimnengulia viuno.
Baada
 ya kupewa kibano, warembo hao walimwanika pastor huyo kwamba ndiye 
aliyewatuma wamchezee wakiwa watupu ili awalipe shilingi laki tatu kila 
mmoja, pia kuwapeleka Uarabuni kwenye kasino.
UTETEZI WA PASTOR
Kwa
 upande wake, Pastor John alijitetea kuwa anaomba asamehewe kwa gharama 
zozote ili taarifa hizo zisifike popote kwani ishu hiyo ilikuwa si amri 
yake bali shetani alimpitia.
“Jamani
 naomba tumalize humuhumu ndani, mnajua mimi ni Pastor wa Kanisa la 
Maximum Deliverance, sasa ukweli ni kwamba waumini wangu hawatanielewa, 
chondechonde ilindieni kazi yangu jamani,” alijitetea.
Mpaka **** inaondoka eneo la tukio, pastor huyo na wanawake ‘wake’ walikuwa 
kwenye harakati za kupelekwa mbele ya vyombo vya sheria kwa ajili ya 
hatua zinazostahili.
KUTOKA MEZANI KWA MHARIRI
Siku
 zote kazi ya **** ni kuwajibikia matendo maovu na si kuwaonea watu  kwa 
lengo la kuwachafua. **** inapopata habari huichunguza ukweli wake kwanza
 kabla ya kuchukua hatua ya kuifanyia kazi moja kwa moja, yaani kufika 
kwenye eneo la tukio.
Lengo
 kubwa la kutoa habari za aina hii ni kuwakumbusha watu namna ya kuishi 
maisha yanayompendeza  Mungu. Wengi wamebadilika, sasa wanaishi vizuri 
wakiwa watu wapya na wanyenyekevu pia wenye kufundisha wenzao.
-GPL




















 

No comments:
Post a Comment