Yemi Alade yupo
Rome Italy akiendelea na ziara yake ya kimuziki ambapo akiwa nchini humo alifanya show ya aina yake iliyopokewa na mashabiki kwa furaha na mashabiki ambao walifurika kumshuhudia.

Hitmaker huyo wa single ya
Jonny mbali ya kutoa burudani ya aina yake akiwa stejini alitumia muda huo kupiga selfie na mashabiki wake huku akiwataka wacheze pamoja.
Katika ziara yake Yemi Alade atatembelea nchi mbalimbali zikiwemo Ujerumani, Switzerland na Ufaransa.

No comments:
Post a Comment