EWURA na ishu ya umeme kukatika.. Polisi na aliyemzushia kifo mama Maria Nyerere je?

Kuna stori ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuzindua ndege nyepesi kwa ajili ya kupambana na majangili, Polisi Tunduma kupambana na watu wanaotaka kufanya maandamano, Mbunge Zitto Kabwe kuingia Bungeni leo, Jeshi la Polisi na taarifa za mtu aliyemzushia kifo Mama Maria Nyerere na wakazi wa mabondeni Dar kutakiwa kuhama kutokana na mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha.
No comments:
Post a Comment