Recent Post

Wednesday, March 18, 2015

NDOA YA JINSIA MOJA SASA HURU WAZIWAZIIIIII TENA KANISA LAPITISHA



NDOA YA JINSIA MOJA SASA NI RUKSA BILA UBISHI ,TENA KANISANI
   
Wapenzi wa jinsia moja.
KANISA la Presbyterian nchini Marekani ambalo lina wanachama milioni mbili, limebadilisha sheria yake ya ndoa na kuwajumuisha watu wa jinsia moja.
Kanisa hilo ambalo linashirikisha idadi kubwa ya wanachama wake duniani lilitoa tangazo hilo baada ya idadi kubwa ya magavana wa majimbo yake 171 kuidhinisha mabadiliko hayo.
Sheria yake mpya sasa itasoma kwamba ndoa ni makubaliano ya kipekee kati ya watu wawili ikilinganishwa na makubaliano kati ya mume na mke.

Sheria hiyo iliyoidhinishwa na baraza kuu la kanisa hilo mwaka uliopita ilikubaliwa na zaidi ya nusu ya majimbo ya kanisa hilo.
Uamuzi huo unatarajiwa kuzua mgawanyiko mkubwa kati ya wanachama wa kanisa hilo ambao wanapinga sheria hiyo.
Mwaka jana baraza kuu la kanisa hilo lilitoa idhini kwa wachungaji wake kuwafungisha ndoa wapenzi wa jinsia moja katika majimbo ambayo ndoa hizo zinaruhusiwa.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *