LILE JUMBA LA 10 LA DIAMOND LENYE CHOO CHA DHAMANI LA M 70 LAANGUKA UKUTA

Baada ya watu wengi kuiona picha hiyo mtandaoni wengi waliihusisha na ushirikina wakiamini kua maadui wa Diamond watakua wamefanya fitna hadi ukuta huo kuanguka. Huku wengine wakisema kua hakuna ushirikina bali ni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa sasa jijini Dar.
No comments:
Post a Comment