Man City kuwaondoa wachezaji hawa kwenye kikosi chake msimu huu.

Mabingwa hao wa ligi ya Uingereza wamepanga kuwauza baadhi ya nyota wake msimu huu akiwemo Yaya Toure, Gale Clichy, Pablo Zabaleta,Jesus Navas, Fernandinho, Steven Jovetic na Edin Dzeko.
Man City alishindwa kutinga hatua ya robo fainali dhidi ya Barcelona katika mechi ya kombe la klabu bingwa Ulaya na kocha wake amethibitisha kwamba mabadiliko makubwa yatafanyika ndani ya klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment