Hali ya hewa ya Qatar na uamuzi wa FIFA kuhusu World Cup 2022

FIFA imeweka hadharani tarehe ya fainali hizo wakati wa kikao chake jana huko Zurich, Switzerland ambapo itakuwa Desemba 18, 2022 huku ikisisitiza tarehe hiyo lakini Uingereza wameanza kulalamika wakidai ratiba hiyo mpya itavuruga ratiba ya ligi yao.
Kawaida kombe la dunia hufanyika kati ya mwezi June na July lakini hali ya hewa ya Qatar imesababisha kubadilishwa kwa ratiba hiyo.
No comments:
Post a Comment