Matokeo ya Arsenal vs West Ham yasikupite, yako hapa!!
 Arsenal ilipata ushindi mzuri dhidi ya West Ham jana kwenye uwanja wa Emirates, London huku ikijiandaa kwa mchuano mkali kati yake na klabu ya Monaco siku ya jumanne.
Arsenal ilipata ushindi mzuri dhidi ya West Ham jana kwenye uwanja wa Emirates, London huku ikijiandaa kwa mchuano mkali kati yake na klabu ya Monaco siku ya jumanne.
Klabu hiyo iliyopo chini ya Arsene Wenger iliishinda West Ham kwa jumla ya mabao 3-0 na kuimarisha ndoto yake katika nafasi nne bora kwenye msimamo wa ligi ya Uingereza.
The Gunners ilitawala mechi hiyo huku Olivier Giroud akifunga bao la kwanzadk45 kabla ya kipindi cha kwanza kukamilika.

No comments:
Post a Comment