ALIYEKUWA KOCHA MSAIDIZI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA
Posted by MoNews on March 16, 2015 at 2045pm

Aliye kuwa kocha wa zamani wa timu ya Taifa Star Sylvester Marsh amefariki dunia juzi katika Hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Saratani ya koo kwa muda mrefu
Sylvester
enzi za uhai wake alishawahi kufanya kazi kakita timu tofauti tofauti
ikiwemo timu ya Toto Africa Mwanza,Kagera Suger ,Azam FC ya Dar Es
Salaam na Taifa Stars Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi
Amen
No comments:
Post a Comment