Recent Post

Tuesday, May 12, 2015

Bow Wow kaamua kuaga rasmi YMCMB??



Bow Wow kaamua kuaga rasmi YMCMB?? nini sababu.. anaenda wapi??

Bow_Wow_SC-e1322923351520
Stori nyingi sio nzuri kuhusu hali ya kwenye kundi la YMCMB headlines nyingi zilikuwa zinahusu mgogoro wa kimaslahi kwenye kundi ikiwemo ishu ya Lil Wayne kupanga kulishtaki kundi hilo na kutaka alipwe fedha, lakini baadaye walikaa pamoja na kuafikiana ikaonekana kama mwisho wa matatizo yao.
Kipya kinahusu mmoja ya member na washkaji wa karibu na YMCMBBow Wowambaye ametangaza rasmi kuondoka kwenye kundi hilo kwa amami kabisa.. Bow Wowamesema hana tatizo lolote na viongozi wake wa  kundi.
Bow amesema amejifunza mambo mengi yenye manufaa kutoka ndani ya kundi hilo kwa kipindi chote alichokuwemo humo.
Mipango ya Bow Wow kwa sasa ni kufanya kazi na Snoop Dogg pamoja na Jarmine Dupri ambao ni jamaa walimtoa na kumlea kwenye muziki.
wow
Nataka nirudi kwa wale ambao walionijua Bow Wow, walioujua muziki wangu.. Jamaa walionitambulisha ulimwenguni ambao ni Snoop Dogg na Jermaine Dupri..“– Bow Wow.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *