Jana mastaa mbalimbali Marekani walijumuika pamoja katika usiku wa 2015 MET Galahuku baadhi ya mastaa hao wakigeuka gumzo kutokana na muonekano wa mavazi yao ambao uliwavutia wengi.
Sherehe hizo za mavazi ambazo hufanyika kila mwaka, jana zilifanyika jijini Newyork na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali.
Beyonce, Kim Kardashian na Rihanna huenda ndio waliotia fora kwa mavazi yao.

Beyonce Knowles akiwa na mumewe Jay Z

Kim Kardashian akiwa na mumewe Kanye West

Kerry Washington

Rihanna

Jennifer Lopez

Solange Knowles

John Legend na mkewe Chrissy Taigen

Alicia Keys

Selena Gomez
No comments:
Post a Comment