Recent Post

Thursday, May 14, 2015

ISHU YA LINAH KUTUMIA VIPODOZI KUBADILI MWONEKANO



Ni kweli Linah anapaka Vipodozi vya kumfanya awe ‘Mweupe’

linah half
Baada ya comment kadhaa kutoka kwa mashabiki na watu wanaomfuata Linah kupitia mtandao wa Instagram, mwenyewe aliamua kuandika maneno ambayo yametafsiriwa kama ni majibu kwa zile comment ambazo si nzuri kwake.
kwenye post yake Linah alianza kwa kuandika ‘Jamanii nimechoka Na kufuru zenu, hivi naomba niulize ufupi wangu, kukomaa kwangu, mkorogo wangu vinawahusu nini? Ni naomba mfatilie kazi zangu tu vingi be ni vitu vya kawaida kila binadamu kuambiwa kasoro zake!
Kwenye sentensi nyingine ameandika ‘Hvi wale ambao Hawana mikono Na miguu Na wao walie vipi kwa Mungu? Namshukuru hivi nilivyo. Mbona mnapenda kutoa hukumu kama nyie ndyo Israeli?! Ifike kipindi tukumbuke kila mtu anamaisha yake! Naona mnaandamana sana Na maisha yangu’
Mwisho aliandika ‘Kuna ambae hata alimsaidia mama yangu wakati anapush hospitali? Hivi kumbukeni mnawazazi pia Na nyinyi mlizaliwa pia,kama nyie Mungu basi nibadilisheni mniumbe mtakavyo, nyie ni kina baba Na kina mama wa badae kumbukeni mtazaa Na nyinyi then tuone! Chozi langu hili haliendi bure!! U will pay it back maana nimechoka Na masimango yenu’


Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *