Recent Post

Friday, May 8, 2015

Christina Milian ANASWA AKILA MAISHA NA Lil Wayne



Christina Milian athibitisha kwa mara ya kwanza kuwa na uhusiano na Lil Wayne


Hatimaye muimbaji Christina Milian (33) amethibitisha kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na rapper Lil Wayne (32), ikiwa ni takriban mwaka mmoja toka uhusiano wao ufahamike na kubaki kuwa kama ‘tetesi’ kwasababu hawakuwahi kuthibitisha.
wayne na milian2
Milian amethibitisha uhusiano wao alipofanyiwa mahojiano na ETonline na kusema kuwa Wayne ni mtu ‘special’ kwake.
“He’s very special to me, yeah,” alisema Milian.
Akiuzungumzia wimbo wake mpya ‘Rebel’ amesema umetokana zaidi na mapenzi yake na Wayne.
“It’s safe to say it is about the man in my life, yes. For me, I’m so inspired by the relationship that I’m in that it’s definitely an experience. It’s that careless, hopeless, romantic love – that feeling of ‘I will do anything for you’ and it’s just incredible and so yeah, ‘rebel for you’ means ‘I’m all about you.’ We love that!”
Christina n Wayne
Alipoulizwa kama anampango wowote wa kuolewa na Wayne alijibu:
“Huwezi jua, namaanisha kuwa mapenzi huwa yanahamasisha vitu vingi vizuri kama hicho. Siweki msukumo sana kwenye kitu kimoja ila naishi naye kwa uhuru na wote tuna furaha sana.”
Tetesi za uhusiano wao kwa mara ya kwanza zilianza kuenea July 2014 baada ya kuonekana wakiwa wameshikana mikono kwenye tuzo za ESPY, muda mfupi baada ya Milian kuachana na aliyekuwa mchumba wake Jas Prince. Kwa wakati huo Milian alikanusha kuwa na uhusiano na Wayne.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *