Recent Post

Tuesday, May 5, 2015

Lionel Messi anatarajia kupata mtoto wa pili Mcheki Mkewe



Lionel Messi anatarajia kupata mtoto wa pili… kama ulikua hujawahi kumuona mama watoto wake ndio huyu.

Lionel Messi and wifeKama hii ni miongoni mwa ulizozimis, ripoti za Argentina zinasema staa huyu wa soka kutoka club ya Barcelona Lionel Messi pamoja na mpenzi wake Antonella Roccuzzowanatarajia kupata mtoto wao wa pili.
Wameshajua tayari kwamba ni mtoto wa kiume atazaliwa na watamuita Benjamin wakati yule wa kwanza anaitwa Thiago ambapo Messi alithibitisha kupitia page yake ya instagram kwa kuandika ‘tunakusubiria baby, tunakupenda’
messi 2
Messi 1
An 1An 2An 3an 4
Leo Messi and Antonella Roccuzzo at the FIFA Ballon d'Or 2013 gala at the Kongresshalle in Zurich, Switzerland, on January 13, 2014.
Leo Messi and Antonella Roccuzzo at the FIFA Ballon d’Or 2013 gala at the Kongresshalle in Zurich, Switzerland,  January 13, 2014

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *