JEMBEEEEE
![]() |
| Ni muda wa kupiga picha na samaki. |
![]() |
| "This is Jembe Club" says Peter Fabian. |
![]() |
| Crew ya vijana wa mjini ikiongozwa na mkurugenzi wa Lakairo Investment Co.Ltd Danny Lameck (kulia) ishatia timu hapa. |
![]() |
| G akipata bupepo..... |
![]() |
| 'Represent' |
![]() |
| Bustanini....na kaunta yenye full service. |
![]() |
| Kama una karanga njoo kuna jiwe la kale la kusagia. |
![]() |
| You see? |
![]() |
| Jembe ni Jembe. |
![]() |
| On the top. |
![]() |
| Vimiminwa vya kila aina. |
![]() |
| Nyakati za usiku huu ndiyo muonekano. |
![]() |
| Kama ni kuwochi football au matukio mbalimbali basi kaunta kuna bo-bo-booooonge la skrini!!!!! |
![]() |
| Kwa mbaaali utaona...... |
![]() |
| Engo nyingine adimu.... |
![]() |
| Wenye boti zao kuna shortcut kutoka Malimbe Nyegezi hadi Mwanza town ni mwendo wa dakika 15 tu amini usiamini. |
![]() |
| Kwa heriiiii.... |
![]() |
| Waleeeeeeee!!!!! |
![]() |
Matukio mawili makubwa kufanyika:-
|




















No comments:
Post a Comment