Kama unayo pesa, unaambiwa hizi ni sehemu 10 za kutembelea duniani kabla hazijabadilika.
Saint Vincent and the Grenadines, ni nchi ambayo ni kisiwa karibu na Barbados kwa kina Rihanna, kwa sasa kipo pia kwenye muungano wa mataifa ya mashariki mwa Caribbean.
Kisiwa cha Crete kipo Ugiriki ambacho ni namba 5 katika list ya visiwa vikubwa vya bahari ya Mediterranean.
Victoria Falls Zimbabwe/Zambia, wanasema September 2015 kuna uwanja wa ndege wa kimataifa utafunguliwa kwenye mpaka wa Zambia na Zimbabwe ili hii sehemu iwe rahisi kufika.
Gozo (Malta) ipo kwenye list na unaambiwa sehemu hii inatarajia ugeni mkubwa wa Watalii baada ya movie mpya ya Angelina Jolie ‘By the sea’ kutoka baadae mwaka huu, ni kisiwa kipo bahari ya Mediterranean kwenye nchi ya Malta ndani ya kusini mwa bara la Ulaya.
http://monewstz.blogspot.com
No comments:
Post a Comment