Diamond kwenye headlines tena na video mpya, sasa hivi ni ft. Khadija Kopa kwenye hii taarabu ‘nasema nawe’
Ngoma hiyo aliyoitoa mara ya mwisho bado inafanya vizuri.. Wanigeria wanatoa ngoma mpya kila siku, Diamond nae anataka kuwa kama wao?
Kupitia ukurasa wake wa Instagram alishare teaser ya video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Nasema Nawe‘ ambao audio yake tayari iko mtaani halafu akaandika hivi; “Naombeni Ruksa zenu waungwana nianze Kuzifumua…“@diamondplatnumz
Dakika chache baadae ameiweka video hiyo Youtube, kumaanisha kwamba ndio tayari imetoka yani..
Amefanya video nyingi nje ya TZ ikiwemo South Africa na Nigeria.. safari hii VIDEO kaifanya TZ na Director ni Mbongo Hanscana..
No comments:
Post a Comment