By:
Unknown
on 7:13 PM
Share
Mama huyu aliona breakfast iwe panya kwa mtoto wake…
Hii imetokea huko India baada ya mwanamke mmoja kumalazimisha mtoto wake kula nyama ya panya kama kitoweo cha asubuhi kwa madai watamsaidia kumpatia nguvu.
Awali mtoto huyo alidhani hawakuwa panya bali sungura lakini alipokuja kuujua ukweli alikataa kula lakini mama yake aliendelea kumlazimisha.
Alimsisitiza kuwa panya mmoja ana uwezo wa kumpatia vitamini mwilini sawa na kula kuku watatu.
No comments:
Post a Comment