March 29 2015, siku ya pili msibani wa Abdul Bonge maskani Tip Top Connection.
Ni pamoja na Diamond Platnumz, Nay wa Mitego, Pnc, Jb wa Bongo Movie, Khadija Kopa, Producer Master J, Lamar, Shetta, Chegge, Hakeem 5, Kitale, Shilole wengine.
Babu Tale ambaye ni mdogo wa Abdul Bonge amesema walikua wanasubiri taratibu za kiserekali kwa ajili ya uchunguzi wa mwili wa marehemu kisha wataenda kumzika kwao Morogoro.
No comments:
Post a Comment