By:
Unknown
on 3:33 PM
Share
Kuku anatembea amebinua kichwa chini, imemshtua anaefuga.. Kisa nini? (VIDEO)
Kama wengi tunavyofahamu kuku ni ndege ambaye hutembea akiwa ameinua kichwa chake juu lakini katika mji wa Kisumu nchini Kenya kuna tukio la kuku mmoja ambaye amewashangaza wengi kwa kutembea shingo yake ikiwa imeelekea chini.
Tofauti na kuku wengine kuku huyo anatembea kichwa chini na wakati mwingine anaruka kama anacheza sarakasi.. mfugaji wa wa kuku huyo amesema tukio hilo linampa wasiwasi, anahofu kumchinja kwa kuhofia shingo yake kupinda kama ya kuku huyo.
No comments:
Post a Comment