#Headlines: Wizi wa magari Dar, Lowassa kwenye headlines tena, Tanzania na vurugu za Afrika Kusini.
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa ametaka wauaji wa Albino wapelekwe kwa Rais, waathirika wa dawa za kulevya Dar es salaam wafanyiwa ibada maalum, serikali leo itatoa tamko kuhusu mauaji ya raia wa kigeni yanayoendelea Afrika Kusini na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amewahakikishia usalama raia wa kigeni nchini humo na kusema serikali yake itachukua hatua.
No comments:
Post a Comment