Recent Post

Thursday, June 4, 2015

Michelle na Obama, Mugabe, Lowassa na Rais JK, Mandela, Mkapa kwenye pichaz zao za zamani



Michelle na Obama, Mugabe, Lowassa na Rais JK, Mandela, Mkapa kwenye pichaz zao za zamani..

Barrack Obama#TBT ndio story yenyewe leo kwenye kurasa za watu @Instagram, nikaona nikutafutie na mimi PICHAZ za zamani za baadhi ya watu maarufu nikusogezee mtu wa nguvu!!
Winnie+Mandela+Nelson
Hayati Mzee Nelson Mandela na mama Winnie enzi hizo.
Barack-Michelle-Obama-Young-Wedding-Dating-Photo-3
Barack Obama na Michelle wake.. Zamani kabisa hapo kabla hata ya safari ya White House.
Mugabe2
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe
w12
Hayati J.K Nyerere na Mzee Mkapa
jakaya lowasa
Rais Kikwete na Mbunge Edward Lowassa

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *