Taarifa mpya juu ya uvamizi uliotokea kwenye Chuo Kikuu Kenya…

Mpaka sasa ripoti inasema Wanafunzi 70, wameuawa na wengine zaidi ya 79, wamejeruhiwa kutokana na tukio la uvamizi wa Garissa College University, wanafunzi walionusurika wamesema magaidi hao walianza kuwapiga risasi walinzi wawili waliokuwa getini na kuelekea katika mabweni ya wanafunzi ambapo walianza kuwagawa kwa dini zao na kuanza kuwaua kwa risasi.

Amesema taifa hilo linakubwa na uhaba wa maafisa wa Polisi kutokaza na kufutwa kwa zoezi la kuwasajili maafisa wa Polisi, Serikali ya Kenya imetangaza kumzawadia shilingi milioni ishirini za Kenya mtu yoyote atakaefanikisha kukamatwa kwa mshukiwa mkuu wa shambulio hilo anaefahamika kama Mohhamed Mahamoud, Polisi bado wanaendelea na zoezi la uokoaji
No comments:
Post a Comment