Recent Post
Ukimlea mtoto wako kwenye mazingira ya kumjenga kuwa jasiri ni raha sana, wazazi wengi hawajui juu ya hili.. pata picha mtoto anamuuliza mke wa Rais kabisa eti ana umri gani.. kiukweli ni swali la kawaida sana lakini kumkuta mtoto anauliza swali tu kwa mtu yoyote mtu mzima itakuonesha ana ujasiri kiasi gani.
No comments:
Post a Comment