Recent Post

Friday, April 17, 2015

STORI KALI MPYA ZA MUZIKI BONGO,



Mwanamziki wa dance ambaye yuko Top kwenye muziki sasa hivi, King of the Best Melodies Christian Bella amesema anapenda sana nyimbo zenye melody.. moja ya nyimbo hizo ni ngoma ya Diamond Platnumz ‘Ukimuona’; aliipenda akaona atajisikia poa kama na yeye atairudia yani.
Unadhani iko hiyo pekeake?? Bella amesema ziko nyingi ambazo anazipenda pia.
DSC_0141-FILEminimizer
Christian Bella
Bella amesema kwa upande wa nyimbo za nje ya TZ anatamani kuurudia wimbo wa Chris Brown ‘With You’ .. kwa sasa anafanya project ya kurudia nyimbo 10 za Bongo Fleva, iliwemo Uhali Gani -Q Chief, ‘Me&U’ -Ommy Dimpoz, feat. Vee Money, ‘Awena’ -Kassim Mganga na TIDAsha.
kassim-mganga
Kassim
Msanii Kassim Mganga amesema hakuogopeshwa na  maneno yaliyokuwa yanahusisha ishu ya msanii kuoa na kufeli kimuziki.. kwa upande wake anasema mke lazima awe rafiki kwa muda mrefu kabla ya kuoana ili wapate muda wa kujuana na kuheshimiana.
Kassim anaamini hakuna mafanikio ya mwanaume bila mwanamke, ishu ya kufanikwa au kushuka kwenye muziki ni mtu mwenyewe.
Image result for ALI KIBA
 
Info ya mwisho amesikika star Ali Kiba ambae ametangaza rasmi kuacha kufanya muziki wa playback, kuanzia sasa burudani ya show yoyote ya Kiba itakuwa ni Live Band.. amesema kajipanga kwa hilo, tayari ana vifaa vyake.
Kashea na sisi hiki kingine kipya, amesema kumbe muziki wa live band inamfanya msanii awe serious.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *