Mzee na watoto wake 40… kingine anachokiwaza ni hiki!!

Mike Holpin hakuona umuhimu wa ishu ya uzazi wa mpango, mpaka sasa ana watoto 40 na bado anafikiria kuongeza wengine huku akiamini hata vitabu vya dini vinaruhusu hilo.
Mwanaume huyo mwenye miaka 56 mwenyeji wa Monmuothshire, Uingereza alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 19 tu na kwa sasa mtoto wake wa kwanza ana miaka 37 huku wa mwisho akiwa na miaka mitatu.

Aliongeza kati ya wanawake 20 aliowazalisha sita ndio aliweza kuishi nao lakini baadae alitengana nao kutokana na tabia yake ya kutokuwa mwaminifu pamoja na kuwanyanyasa.
No comments:
Post a Comment