Uvamizi wa kigaidi kwenye Headlines Kenya.. Hii imetokea Chuo Kikuu leo

Ripoti iliyotoka mpaka sasa inasema watu wawili wameuawa na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa kutokana na tukio la uvamizi Garissa College University, walioshuhudia wanasema watu waliovamia haijafahamika idadi kamili ila ni kati ya watu sita na kumi.
Wavamizi hao walikuwa na silaha ambapo imesikika milio ya risasi kutoka kwenye Chuo hicho kilichopo karibia na mpaka wa Kenya na Somalia
No comments:
Post a Comment