Huu ulikuwa mjengo wa Bondia Mike Tyson.. Ipo taarifa nyingine kuhusu mjengo huu

Muonekano wa jumba hilo pamoja na kujengwa na kunakshiwa kifahari na kutumia fedha nyingi, kwa sasa limekuwa likionekana kama gofu.
Tyson alilazimika kuliuza jumba hilo mwaka 1999 kwa kitita cha pauni milioni 1.3 baada ya kukumbwa na kashfa ya ubakaji na sasa litabadilishwa na kuwa kanisa.








No comments:
Post a Comment