Bibi wa miaka 116 kwenye Headlines na ujumbe wake kwa Rais Barack Obama…

Bibi huyo raia wa mji wa Arkansas, Uingereza ameingia kwenye orodha hiyo akiwa na miaka 116 na Julai 4 mwaka huu anatimiza miaka 117.
Mbali ya kuwa na umri mkubwa kuliko wote,Weaver ametoa ujumbe kwa rais wa Marekani Barack Obama kuwa anamuomba aweze kuhudhuria kwenye siku yake ya kuzaliwa kwa sababu alichangia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Marekani kwa kumpigia kura mara mbili.
Alizaliwa katika mji wa Arkansas mwaka 1898.
No comments:
Post a Comment