Recent Post

Saturday, July 11, 2015

HII NDIO SABABU YA CHRIS BROWN KUTOKURUDIANA NA RIHANNA TENA



HII NDIO SABABU YA CHRIS BROWN KUTOKURUDIANA NA RIHANNA TENA



Chris Brown na Rihanna
Mahusiano ambayo yalikuwa na visanga vingi, na pia watu walidhani labda siku moja watarudiana lakini kwa sasa hatimaye ndo mwisho hawawezi kurudiana tena, Rihanna na Chris Brown ni wapenzi ambao wameachana na kurudiana zaidi ya mara tatu, Chris Brown amekiri kwamba hafikiri tena kutoka na Rihanna, kwa sababbu anampenda sana.
“New Flame” singer Chris Brown mwenye umri wa miaka 26, alikuwa amebeba mzigo mkubwa sana kifuani kwake, anampenda sana Rihanna mwenye umri wa miaka 27, alitakiwa afanye maamuzi magumu kutokuwa na Rihanna tena, kutokana na chanzo kimoja ambacho kiliongea na HollywoodLife.com, wakati Chris B kila atakuwa akimpenda Rihanna, hataki tena kuumiza moyo wake tena.
cb n riri


2007 baada ya tuzo za Grammy Breezy alimjeruhi vibaya Rihana, Kwa miaka sasa wamekuwa wakiigiza tu urafiki wao lakini hakuna kilichotokea. Kwa sasa Breezy anasema kwamba hawezi kurudiana tena na Rihanna na kumpelekea uzuni ambao tayari ameshakutana nao, lakini anampenda sana.
Anajua anapenda wanawake na anajua anaweza akawa na yeyote anayemtaka, anagundiu kwamba na kitu alichotaka kukifanya ni kumuumiza Rihabba na sio kumpa alichohitaji, ambacho ni mapenzi na kujitoa kwake.
Ni kitu kizuri alichoamua Chris Brown, anataka Rihanna awe na furaha, akiwa nae au asipokuwa nae, Chris amejirekebisha na amekubali kwamba atamuumiza Rihanna, na kama Rihanna hataki hicho basi hawawezi kuwa pamoja, ni kitu kizuri hataki kumuumiza mtu amnae anampenda.
Katika mahusiano yake ya sasa na Karrueche Tran mwenye umri wa miaka 27, Chris hajawa na bahati kufanya mambo yaende sawia, baada ya kuwa na Karrueche Tran Julai 4, Chris alipost picha ikiwa na maelezo jinsi ilivyorahisi kuchukua lakini ngumu kupenda.
Hakuandika sentensi ya kweli! Sasa hatimaye ameamua kumuacha Rihanna aendelee na maisha yake, inawezekana ingawa anaweza akajitosa kwenye mapenzi na Karrueche na kutengeneza mahusiano yao ambayo yaliyumba, wana vitu vingi vya kufanyia kazi ili kusonga mbele, hii ndiyo price of fame.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *