Recent Post

Wednesday, September 9, 2015

STAA wa filamu za Kibongo






STAA wa filamu za Kibongo Jacqueline Pentzel maarufu kama Jack wa Chuz ametamba kuwa ndoa yake na Gardner Dibibi ipo imara licha ya kukumbwa na misukosuko ya kuachana na kurudiana.

Akiteta na gazeti hili hivi karibuni, msanii huyo alisema kuwa hakwenda kucheza kwenye ndoa kama wasanii wenzake wanavyodhani, kwani licha ya kumuombea mabaya, amemudu kuwa imara kwa kumaliza matatizo yao kila yanapotokea na maisha yanaendelea.

“Ukweli wasanii wenzangu wamekuwa wakiniombea kila kukicha ili niachike, lakini kwa hilo wameshindwa na niwaambie tu ukweli kwamba sijaja kucheza segere kwenye ndoa kama wao wanavyofikiri,” alisema Jack Chuz.

Email Newsletter



Smiley :)
:D
:)
:[
;)
:D
:O
(6)
(A)
:'(
:|
:o)
8)
(K)
(M)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Us

Contact Form

Name

Email *

Message *